Suoni Fuori Le Mura

JEK DEL, JEK PUV PALE SAVORENDE

info
credits

Mtakatifu bwana

Mtakatifu bwana mtakatifu
Bwana mtakatifu (2 volte)

Mbingu na dunia zimejaa
utukufu wako mkombozi
bwana mtakatifu

Hosana hosana juu mbinguni
bwana mtakatifu (2 volte)

Mbingu na dunia zimejaa
utukufu wako mkombozi
bwana mtakatifu

Mbarikiwa yeye mwenye kuja
bwana mtakatifu
Mwenye kuja kwa jina la bwana
bwana mtakatifu

Mbingu na dunia zimejaa
utukufu wako mkombozi
bwana mtakatifu (2 volte)